NAONGEA NA WEWE!!!!


Wewe ambaye miaka mitano (5) ya uchumba,
ushamfunuafunua mtoto wa watu kama Sufuria la Pilau msibani utege masikio yako tena uamke kitandani ukae kitako unisikilize vizuri....
Unamjua mwili wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa,
mtoto wa watu amewakataa wanaume kibao wenye malengo nae kwa ajili yako kwamba utamuoa kama ulivyomuahidi.
Amepoteza muda wake kwaajili yako
Amekuamini wewe.
Ametulia anajua ndoa inafuata hivi karibuni halafu wewe ghafla tu unakuja kumzingua na kutangaza ndoa na mtu mwingine.
Akikuuliza sababu ya
kumuacha yeye
unasema siwezi kuoa
Mwanamke hajui kukatika
kitandani
nataka kuoa fundi wa
kumiliki kitanda, Ulimfundisha?
Kwani unaoa mke wa
kujenga nae Familia au
unaoa mke wa kwenda
kufungua
bendi ya kukata viuno?
Maana kama nia yako ni kupata
mke anayekatika basi ungeenda
kuoa Wanenguaji kwenye
bendi ya
Akudo Impact.
Mnaumiza watoto wa watu
kibwegebwege na sababu za
kijinga,
Kwani utakula kiuno
all ur life?
Au mtajenga uchumi wa familia kwa kukatika kitandani??
Acha kucheza na hisia za wanaweke wewe.
#Ninajali..
Nimetupa jiwe kizani kama limekukuta nisamee bure.
SHARE Mnoo
Njoo ulike ðŸ‘‰




Comments