▪ Mwanaume akimpenda Mwanamke anamuweka akilini, yaani kama kuna VIONJO VIPO KI PEKEE atadumu nawe akilini mwakeπ na wenye BAHATI wao mpaka moyoni huzama hao ndo humfanya Mwanaume hata KUJIUA kulikosa penzi la Mwanamke aliyempenda.
▪ Mwanamke akimpenda Mwanaume ANAMUWEKA MOYONI wala hapatakuwepo na Mwanaume mwingine ataweza kukuondoa hata awe na NGUVU GANI kwa hakika hataweza kumuingiza MOYONI ila ataweza kumuingiza akilini kwa SABABU ZA KI MAISHA.
Mpaka hapo ushajua kwanini MAPENZI YANA RUN DUNIAπ
Kila MBABE NA MBABE WAKE π ila ukiona wewe unaonewa na Mtu umpendaye ujue kuna mahala nae ni FALA TU π€£π€£ anapelekeshwa mpaka mwishooo, Ndo maana halisi ya UPENDO π UPOFUπ€
Mheshimu akupaye AMANI YA MOYO π vinginevyo utajitafutia MARADHI BURE π€¦♂️
Maana UTULIVU WA NAFSI UNATOKANA NA HITAJI LAKE kinyume chake utalazimisha kusahau kisichosahaulika mwisho kabisa UFE UNAJIONA ππ
Comments
Post a Comment